KONGAMANO LA WANAWAKE WAKATOLIKI TANZANIA(WAWATA) JIMBO KUU LA MWANZA.

Pichani ni baadhi Wanawake wakatoliki jimbo kuu la Mwanza mnao tarehe 11/10/2025 walipokutana kwa pamoja katika kongamano maalumu la kijimbo, kusheherekea siku ya WAWATA (WAWATA DAY). Kangamono hilo lililofanyika katika Parokia ya Mt. Fransisco Ksaveri, Nyakahoja.

Adhimisho la Misa Takatifu liliadhimishwa na Mhashamu Renatus Leonard Nkwande, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki Mwanza. Ibada ya Misa ilitanguliwa na matembezi mafupi kutoka maeneo ya Kemondo hadi Parokiani Nyakahoja (umbali wa karibu km 1). Wakina Mama pia waliungana kwa pamoja kuchangia kuchangia harambee ya ujenzi wa hosteli.

Leave a Reply