Rozari. Mama kanisa kwa namna ya pekee anatualika sote kujumuika kwa pamoja kusali rozari takatifu hasa kipindi hiki maalmu kilichotengwa na kanisa kuenzi na kusali rozari takatifu kwa moyo mkuu. Lengo likiwa ni kutuimarisha kiroho, kutusogeza karibu na toba na wongofu, kukua katika fadhila, ulinzi dhidi ya majaribu na kupokea rehema kwa dunia nzima pamoja […]
Matangazo
matangazo ya parokia.
Utume wa katekesi Mashuleni

Parokia yetu ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri inashiriki kikamilifu katika uinjilishaji mashuleni ambapo Baba Paroko anahimiza sana kuhusu umuhimu wa kuwafundisha watoto dini wakiwa katika umri mdogo. Mafundisho ya Katekesi yanawasaidia wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi sekondari. Kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2024 tumeweza kuzifikia shule zote zinazozunguka parokia yetu. Kulingana na taarifa ya mwaka […]
School apostolates

The school apostolate at St. Francis Xavier Parish Nyakahoja has been one of the vital elements of our pastoral activities. The Parish Priests Fr. Edward Rwimo,SJ has always encouraged teaching of Catechism in schools that are under our parish. Teaching the word of God in schools beginning from primary schools it enables the children to […]
Nyerere day mass

the day was colorful and the president of Tanzania attended accompanied by top government officials.