UTUME WA KATEKESI MASHULENI

Parokia yetu ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri inashiriki kikamilifu katika uinjilishaji mashuleni ambapo Baba Paroko anahimiza sana kuhusu umuhimu wa kuwafundisha watoto dini wakiwa katika umri mdogo. Mafundisho ya Katekesi yanawasaidia wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi sekondari. Kufikia mwishoni mwa mwaka jana 2024 tumeweza kuzifikia shule zote zinazozunguka parokia yetu. Kulingana na taarifa ya mwaka […]